Gari ambayo imechomwa moto na waandamanaji wakipinga kuuliwa kwa Mark ikiteketea katika jiji la Manchester-Uingereza
 Kikosi cha moto na uokozi cha Tottenham wakimaliza kuzima moto ulioteketeza jengo la duka la stoo kaskazini mwa Uingereza
On 4 August 2011 Mark Duggan (29) ameuwawa kwa kupigwa risasi na polisi wa Tottenham -Uingereza Agosti 4, 2011, wakati jeshi hilo likiwa katika mfululizo wa kazi zao za kila siku katika msako wa kuwawinda wauza madawa ya kulevya katika jiji hilo. Inasemekana kwamba Mark ni miongoni mwa watu mashuri katika uuzaji wa madawa ya kulevya nchini humo

0 comments:

 
Top