Waziri wa wizara ya miundo mbinu na mawasiliano Zanzibar Mhe.Hemed Masoud ameeleza kwamba katika kipindi hichi cha serikali ya awamu ya saba wananchi wa Zanzibar wategemea kuona mabadiliko makubwa katika sekata ya usafiki ukiwemo wa Barabara, anga na majini.
hayao aliyaeleza leo wakati akipoke TV mbili zenye thamani ya shilingi milioni tano kwa ajili ya kuwekwa kwenye uwanja huu. Vifaa vya ambavyo vitolewa msaada na kamapuni ya simu za mkono ya Zantel, katika makabidhiano hayo Waziri alisema kwamb Zantel kutoa msaada huu ni jambo la busara kwa vile utaweza kuwasaidia wasafiri watumiao uwanja wa ndege wa Zanzibar.
hata hivyo, Mhe.Waziri ameeleza kwamba juhudi pia zinaendelea katika kuhakikisha kwamba badnari ya Zanzibar inakuwa ya kisasa na yenye uwezo wakupokea meli za mizingo, amefafanuwa kwamba taratibu za awalizimeshafanyika ambapo ramani ya ujenzi wa bdari hiyo tayari imeshakabidhiwa kwa serikali na sasa wanatafutwa wafadhili na wakandarasi ambao wataweza kuijenga bandari ya Zanzibar ili iweze kutoa huduma bora za usafirishaji

0 comments:

 
Top