Hali ya ukame na njaa imekuwa ni tatizo kubwa katika pembe ya Afrika(Somalia) ambapo inasemekana kuwa Watoto ndio wanaoathirika zaidi na tatizo la njaa nchini humo, wakatika katika maeneo mawili ya kusini mwa Somalia ya Bakool Kusini na Lower Shabelle hali ni mbaya zaid.
Shirika la kuwahudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF llimeeleza kwamba, kati ya kila watoto watatu wanaoishi kwenye maeneo hayo  wanasumbuliwa na matatizo mbali mbali ya kiafya ukiwemo utapia mlo.

0 comments:

 
Top