Ni tangazo zuri kutoka Mamlaka ya Maji Zanzibar lakini jee athari zake zikoje kwa jamii ambayo imekuwa ikitumia maji katika harakati zake za kila siku

Hili ndilo hodhi ambalo kwa sasa limekuwa katika hali mbaya ingawaje unaweza ukasema ni nyumba au banda la kufugia kuku lakini hali halisi haiko hivyo hili ni hodhi ambali lipo katika eneo la kilimani (Mnara wa mbao) Zanzibar, ni vyema taasisi husika ikafanya kila jitihada ili kukamilisha ujenzi wa hodhi hili

0 comments:

 
Top