Haya ndio malazi ya mwisho ya mwanadamu yoyote pale katika dunia hii, ni pahala pazito na pagumu sana kwa mwaadamu lakini hakuna njia ya kukwepa kifikia hapa, napenda kuifahamisha jamii kwamba makubauri hayo tunayoyaona ni makaburi ambayo yamelaza wazazi, walezi na watawala wetu kwa wakati ule ambapo Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa Mfalme Sayyied bin Said katika visiwa vya Zanzibar na makaburi haya yapo katika jumba la Palace Museum hapoa Forodhani Zanzibar

0 comments:

 
Top