Jana baadhi ya nchin kama vile Uingereza, Nchi za Asia, Arabuni na hata Tanzania Mwezi ulipatwa majira ya saa usiku ambapo ulianza taratibu nakumalizika wote ilipotimu saa nne usuku na hatima uliweza kung'ara tena majira ya saa sita usiku, lakini kwa nchin za Ulaya, Asia na Mataifa ya Kiarabu uliptwa kwa muda tofauti kulinga na mataifa yao yalivyo

0 comments:

 
Top