maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari yameadhimishwa karibu duniani kote hapa Tanzania yalifanyika karibu kila pembe ya nchini na kila mtu aliweza kutoa maani yake juu ya maadili ya habari, upatikanaji na utoaji wa habari pamoja na upotoshwaji wa habari zenyewe
Si rahisi kwa mtu ambaye ufahamu wake ni mdogo kuweza kukubali kwamba kunakiasi kikubwa cha upotoshaji wa habari kwa vyombo vya ndani na vile vya nje ya nchi.
Kwa kweli ni kichekesho kikubwa na udanganyifu mkuwa uliofanywa na vyomva vya magharibi pale ambavyo walivishushia lawama vikosi vya NATO kwa kuwauwa wajuu watatu na mtoto mmoja wa karnal Mughamari Gaadaffi wa Libya kutokana na vita vyao vya uvamizi walivyovifanya hivi karibuni katika bara laAfrika.
Mara baada ya kuona lawama zimekuwa nyingi katika mataifa hayo yaliyofanya uvamizi nchini Libya ndipo uongo ukatungwa na vyomba vya habari kuchukuwa nafasi ya kutangaza uongo huu kwa kudai ati Osama bin Laden ameuliwa na vikosi vya marekani na mwili wake kuzikwa baharini maana amekuwa samaki ambaye hufa baharini na kuzikwa baharini humo humo
Kwa hakikai huu ni uongo wa mwaka katika kuwanyamazisha watu wasihoji mauwaji ya Libya ambayo watu wanauliwa bila hatia, lakini kwa sababu vyombo vya habari vipo kwa ajili ya kuwadanya wananchi ndio maana watu wote duniani wameamini kwamba kilichofanyika Libya si tatizo bali tatizo ni kifo cha anaedaiwa kuwa ni Osama bin Laden.
Lakini hebu tujielieze Osama huyu amekufa mara ngapi? Kwa sababu kwa mara ya kwanza kifo cha Osama kilitangazwa mwaka 2000, mara ya pili 2005 na sasa ni mara ya tatu 2011 na pengine 2015 atakufa tena, hili linawezekana.
Ingwaje sherehe za uhuru wa vyombo vya habari ni sherehe za kimataifa lakini kwa waandishi wa mataifa ya magharibi sherehe kubwa ni kuipotosha jamii juu ya suala zima la Libya na Osama kama vile ilivyokuwa kwa Sadamu Hussein na silaha za nyuklia kule Iraq.
Uongo huu wa waandishi wa habari hata Yesu (Issa bin Mariam) alikwisha utanabahisha kwenye bibili “ Mtakapo washinda waandishi na mafarisayo ufalme wa Mungu mtaupata” aya nyingine ni “Sikuja kutenguwa taurati lakini tazama kalamu zenye uongo za waandishi zimeifanya taurati ya bwana kuwa ni UONGO” hizi ni aya mbili ambazo kila moja imekuwa ikisisitiza kuhusu suala zima la waandishi na sasa tunawaita waandishi wa habari
Ipo haja kwa waandishi wa habari kuwa wakweli katika kazi zao kuliko kuendekeza propaganda za wanasiasa



0 comments:

 
Top