Inaonekana kama vile wanasiasa wa ndio wenye Muungano zaidi kuliko wananchi, wa taifa hili, haiwezekani kwa kiongozi ambaye yupo Zanzibar kusema Muungano wa uliyopo nchini hauna matatizo, bali kuna kero za muungano ambazo ni nyingi kuliko makubaliano ya maungano wenyewe.
Ni sahihi kusema hivyo kwani hata nguruwe huitwa kiti moto ili kuonesha kwamba yule si nguruwe kwa hivyo ni halali kumla


0 comments:

 
Top