Picha kwa niaba ya http://mjengwa.blogspot.com
Muda umefika jamii kuweza kufahamu ukweli wa tiba ya Loliondo kwa wananchi kuweza kufahamu ni watu wangapi wameweza kupona kabisa matatizo yao ya kiafya kutokana na kikombe cha Babu wa Loliondo?

Si tu mtu kujitokeza hadharani lakini ushuhuda ambao jamii ya Kitanzania itaweza kuridhiswa nao ni kwa kupitia vyombo vya habari kwa ajili ya kuweza kuifahamisha jamii ukweli juu ya suala hili la Loliondo

0 comments:

 
Top