Sofia James Mwiga (17, pichani) ni mkazi wa Manispaa ya Mkoa wa Tabora nchini Tanzania anaishi na ugonjwa wa kuvimba miguu kwa muda mrefu hali ilinamfanye awe mpweke huku akishindwa kuanza shule. kwa msaada zaidi wasiliana na baba yake mzazi kwa simu namba +255 0753 916690

0 comments:

 
Top