takribani ni miezi mitatu au minne kisiwa cha Unguja kimekuwa katika gizo totoro, huku joto na ukosefu wa maji vikiendelea kisiwani hapa

ingawaje tarehe ya mwanzo ya kuridu umeme ipmepita pila ya mafanikio sasa shirika hilo limeibuka na kuja na tarehe mpya ambayo ni tarehe 9/03/2010

ingawaje hakluna uhakika kama kweli upo uwezekano huo, lakini wananchi wa kisiwa hiki wanahitaji kupongezwa kwa usitaha,milivu wao wa hali ya juu

kitu pekee kwa sasa kwa shirika hilo la umeme ni kufikiria njia mbadala ya uzalishaji wa umeme badala ile iliyozoeleka kwani upo wasi wasi kwamba tatizo holo huenda likaendelea tena baadae

0 comments:

 
Top