ikiwa bado tamasha la busara likiwa linaendelea katika visiwa vya marashi ya karafuu,baadhi ya wenyeji wa visiwa hivi wamekuwa wakijiuliza lengo la tamasha ni nini hasa? utalii? utamaduni wa kigeni au?

haya ndio masuala ambayo wengi wamekuwa wakijiuliza kwani asilimia kubwa ya wasanii walipanda jukwaani ni wale kutoka nje ya Tanzania, kitu ambacho kinaonekana kama ni kero kwa kiasi fulani

ingawaje tamasha lipo? lakini kwa kweli ni kivituo kikubwa kwa watalii na hata kuongeza kipata cha wale waofanya biashara ya utalii visiwani hapa , licha kwamba giza kubwa takribani mitaa yote ya Zanzibar

0 comments:

 
Top