Aland islands (Aland in Swedish, Ahvenanmaa in Finnish) ni kisiwa ambacho kipo baina ya nch ya Sweden kwa upande wa mashariki na kusini kimepakana na Finland, kutoka mashariki ya mji mkuu wa Stockholm, (Sweden) ni mwendo usipungua mile 65.

Asili hasa ya kisiwa hiki ni kutoka kwa watu wa Nordic, na kwa sasa kisiwa hiki kinajulikana kwa jina la Alanders. Watu wakisiwa hiki wameendelea kadri siku zinvyokuwa na zaida majino yao yanapatikana kutokana na kutenganishwa kwao na bahari na ndio tofauti pekee iliyopo kwa watu wa mataifa ya Scandinavians.

Lakini bado mpaka sasa Alanders wanachukuliwa kama ni watu mwenye asili ya Sweden. Watu wa kisiwa cha Alanders kwa asilimia kubwa asana utamaduni wao ni wa mchanganyiko kutoka katika kutoka katika taifa la Swedish na watu wa Danish ambapo ndipo utamaduni wao ulipochukuwa nafasi kubwa kama vile visiwa vya Zanzibar ambapo ailimia kubwa ya utamaduni wao ni kutoka kwa mataifa ya Kiarabu.

katika karne hizi za sayansi na teknolojia kisiwa hiki cha Aland kipo katika uangalizi wa Swedish na Finland. Aidha kisiwa hiki ni miongoni mwa visiwa 6,500 ambavyo vimevuzngukwa na majabali ambayo yapo kwa wastani wa squre miles 572 kwa mzunguko wa kisiwa hiki. Idadi ya watu katika kisiwa hiki cha Aland kotoka karne ya kumi na nane ilikuwa ni 11,000 ya watu wote wanaishi kisiwani humo.

kisiwa cha Aland kipo karibu na mipaka ya Russia ba Swedeen ambapo kisiwa hi8ki kilikuwa chini ya uangalizi wa Fredrikshanmn September 1809. kutokana na hali hiyo basi Aland imekuwa n miongoni mwa sehemu ya nchi ya Finland.

kutokana na hatua hali hiyo basi, Sweden haikuweza kuwa ni sehemu muhimu ya kisiwa hiki.Hatua hii ilikuwa ni muhimu si tu kwa Swede lakini hata kwa nchi ya Uingereza ambapo kwa njia moja au nyengiene ilijihusisha kikamili katika masula ya kijeshi ambayo yalichukuwa nafasi zaidi kwa ajili ya maslahi ya nchi hizo. Hii ni kwa sababu hata Uingereza yengyewe iliwahi kuilinda Zanzibar kijeshi kwa maslahi yao binafsi.

0 comments:

 
Top