Wizara  yashauriwa njia muwafa katika kuyapiga mnada majenereta yalipo Mtoni Wizara yashauriwa njia muwafa katika kuyapiga mnada majenereta yalipo Mtoni

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji Nishati na Madini imeombwa kufikiria njia muwafaka ya kuyauza Maje...

Read more »
21:33

 Declaration of Intent for Joint Initiative on Youth Employment in Africa Signed in Addis Ababa Declaration of Intent for Joint Initiative on Youth Employment in Africa Signed in Addis Ababa

The Initiative is a response by the AUC, AfDB, UNECA and ILO to the call by African Heads of State and Government to tackle more decisi...

Read more »
21:06

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Ali Garu akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hatua zinazochukuliwa za ujenzi wa tangi la kuhifadhia maji safi liliopo machui chini ya ufadhili ya Benki ya Maendeleo ya Afrika { ADB } Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji Zanzibar { ZAWA } Dr. Mustafa Ali Garu akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hatua zinazochukuliwa za ujenzi wa tangi la kuhifadhia maji safi liliopo machui chini ya ufadhili ya Benki ya Maendeleo ya Afrika { ADB }

Read more »
20:55

Wizara yatakiwa kutoe elimu kwa jamii juu ya utunzaji wa vianzio vya maji Zanzibar Wizara yatakiwa kutoe elimu kwa jamii juu ya utunzaji wa vianzio vya maji Zanzibar

Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Zanzibar imeagizwa kuendelea kutoa Elimu kwa Jamii juu ya umuhimu wa kutunza vianzio vya Maji il...

Read more »
20:49

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis pamoja na viongozi wengine, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa afya yake Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis pamoja na viongozi wengine, wakati akiwasili nchini akitokea India kwa uchunguzi wa kawaida wa afya yake

Read more »
11:20

Maalim Seif arejea nchini Maalim Seif arejea nchini

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, leo amewasili nchini akitokea India alikokwenda kwa ajili ya kufanyiwa uchu...

Read more »
11:10

Wizara ya Mifugo yapanga kukifufua kituo cha  upandishiaji wa ngombe Zanzibar Wizara ya Mifugo yapanga kukifufua kituo cha upandishiaji wa ngombe Zanzibar

Wizara ya Mifugo na Uvuvi Zanzibar iko katika harakati za kukifufua upya Kituo cha kupandishia Ngombe kilichopo katika eneo la Maruh...

Read more »
12:41

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Tawi Jipya la CCM la Kiomba Mvua akiongozana na Mwenyekiti wa Tawi hilo Bibi Zawadi Ali Suleiman Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Tawi Jipya la CCM la Kiomba Mvua akiongozana na Mwenyekiti wa Tawi hilo Bibi Zawadi Ali Suleiman

Read more »
12:54

A billion persons with disabilities have rights   A billion persons with disabilities have rights

The blind Ethiopian human rights defender Yetnebersh Nigussie: "Women with disabilities are highly vulnerable”     ...

Read more »
11:04

Wanaccm wanahaki ya kuendelea na vikao vyao:Balozi Wanaccm wanahaki ya kuendelea na vikao vyao:Balozi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi alisema Viongozi na Wanachama wa CCM wanapasw...

Read more »
11:01

 Tanzania Poised to Transform National Energy Sector with Influx of Renewables Tanzania Poised to Transform National Energy Sector with Influx of Renewables

On September 12, the Republic of Tanzania received endorsement from the Climate Investment Funds (CIF) of an investment plan which will ...

Read more »
10:14

Mkuu wa Chuo cha Dilpomasia Jijini Dar es salaam Balozi Dr. Mohammed Maundi yeye na ujumbe wake akibadilishana mawazo  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi juu ya mfumo wa kuanzisha mafunzo ya Uhusiano wa Kimataifa kwenye chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar Mkuu wa Chuo cha Dilpomasia Jijini Dar es salaam Balozi Dr. Mohammed Maundi yeye na ujumbe wake akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi juu ya mfumo wa kuanzisha mafunzo ya Uhusiano wa Kimataifa kwenye chuo cha Utumishi wa Umma Zanzibar

Read more »
10:10

Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar chatarajia kuanzisha mafunzo ya Kidiplomasia Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar chatarajia kuanzisha mafunzo ya Kidiplomasia

Uongozi wa Chuo cha Diplomasia Cha Jijini Dar es salaam umepongezwa kwa hatua zake zilizoanza kuzichukuza katika harakati za kusaidia Taa...

Read more »
10:06

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Chuo cha Ushoni cha wajasiri amali wa Kibweni kilichoanzishwa na Jumuiya ya Vijana wa Kibweni { Kibweni Yourth Organization  - KYO } katika Mtaa wa Kwa Botoro Kibweni Jimbo la Bububu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Chuo cha Ushoni cha wajasiri amali wa Kibweni kilichoanzishwa na Jumuiya ya Vijana wa Kibweni { Kibweni Yourth Organization - KYO } katika Mtaa wa Kwa Botoro Kibweni Jimbo la Bububu

Read more »
12:36

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya kumbukumbu za Kitaifa za Oman Dk.t Hemed Mohammed Al-Dhawyani kwenye ufunguzi wa maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani  City jijini Dar es salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya kumbukumbu za Kitaifa za Oman Dk.t Hemed Mohammed Al-Dhawyani kwenye ufunguzi wa maonesho ya nyaraka ya kitaifa na kumbukumbu za Oman yaliyofanyika leo Sept 09-2013 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

Read more »
12:25

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi zawadi Kipa Bora wa mashindano ya ujirani mwema ya Dr. Sheni Cup yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Jimbo la Nungwi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimkabidhi zawadi Kipa Bora wa mashindano ya ujirani mwema ya Dr. Sheni Cup yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Jimbo la Nungwi

Read more »
16:19

Kitamli yaibuka na ushindi Kitamli yaibuka na ushindi

Hatimae Mabingwa wa Mashindano ya Ujirani mwema ya Dr. Sheni Cup yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Jimbo la Nungwi na kufadhiliwa n...

Read more »
16:10

SMZ yapambana na matatizo ya ajira SMZ yapambana na matatizo ya ajira

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema nia ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuanzisha Wizara inayosimamia ...

Read more »
16:08

African Green Revolution Forum warns of severe finance gap in African agriculture African Green Revolution Forum warns of severe finance gap in African agriculture

Green Revolution cannot materialise in Africa without a major concerted effort to secure financing for agricultural production The Afri...

Read more »
16:06

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Sun Set Bungalows iliyoko katika Kijiji cha Kendwa Nungwi Abdullsamab Ahed Said akikagua athari iliyosababishwa na moto mkubwa uliyoyakumba baadhi ya majengo ya Hoteli hiyo juzi jioni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mmiliki wa Hoteli ya Sun Set Bungalows iliyoko katika Kijiji cha Kendwa Nungwi Abdullsamab Ahed Said akikagua athari iliyosababishwa na moto mkubwa uliyoyakumba baadhi ya majengo ya Hoteli hiyo juzi jioni

Read more »
11:29

White Sand na Sun Set Bungalows zateketea kwa moto White Sand na Sun Set Bungalows zateketea kwa moto

Hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni Moja Nukta 2 imepatikana kufuatia kuungua kwa moto hoteli mbili za Kitalii za White Sand na Sun Set B...

Read more »
11:15

SMZ yathibitisha kushiriki kwake kwenye kutoa maoni yake SMZ yathibitisha kushiriki kwake kwenye kutoa maoni yake

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amelithibitishia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba Barua za Serika...

Read more »
21:55

Protocol of The Global Burden of Diseases Protocol of The Global Burden of Diseases

The Global Burden of Diseases, Injuries, and Risk Factors (GBD) is an approach to global descriptive epidemiology. It is a systematic, sc...

Read more »
08:27

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielekea kwenye ukumbi wa Kongamano la Kimataifa la Utamaduni wa sutaarabu wa Kiislamu lililofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya La Gemma De est Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa na wenyeji wake Mkuu wa Mkoa huo Pemba Juma Khamis Kati kati na Waziri wa Habari wa Omar Dr. Abdulmumin Mansour Bin Said Al-Hasani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielekea kwenye ukumbi wa Kongamano la Kimataifa la Utamaduni wa sutaarabu wa Kiislamu lililofanyika katika Hoteli ya Kimataifa ya La Gemma De est Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa na wenyeji wake Mkuu wa Mkoa huo Pemba Juma Khamis Kati kati na Waziri wa Habari wa Omar Dr. Abdulmumin Mansour Bin Said Al-Hasani

Read more »
20:59
 
Top