Ipo haja kwa jamii kufahamu kwamba  maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri ni jambo la kawaida kwa viumbe.
Mara nyingi maambukizi ya fangasi kwenye sehemu za uke

huwa ni chanzo kikuu cha kuaathiri mfumo wa uzazi kwa mwanameke.
Hii ni kutoka hali halisi ya maumbi ya mwanamke kulinganisha na maumbile ya mwanamme.
Mara nyingi  mwanamke anapopatwa na  maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri iwe  mara moja au mara mbili kwa mwaka, hapana shaka yoyote maradhi hayo yanatibika na kupona kabisa endapo itazigatiwa matumizi sahihi ya dawa atakazipatiwa na mtabibu wake.
Licha ua kuwepo kwa tiba ya fangasi, lakini bado hali hiyo inaweza ikaathiri mfumo wake wa uzizi, na pia hupelekea kukosa utulivu na amani. Ikiwa ni pamoja na  kupatwa na  uwasho katika sehemu za siri  na wakati mwengine  kuhisi kuwaka moto kwa mbali na pia hupelekea kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
Ingawaje ni  vyema kutokushiriki kwa tendo la  ndoa pindi ukiwa umepatwa na  maambukizi ya fangasi katika sehemu za siri.
Ikumbukwe kwamba kupata maambukizi ya fangasi mara kwa mara kwenye sehemu za siri, husababisha uteute unaokuwa ukeni kutokuwa na uwiano sawa, kitu ambacho kinaweza kufanya mbegu za uzazi za  mwanaume kushindwa kufika kwenye ua la uzazi mwanamke. 
 Aidha, sio kwamba mbegu za uzazi za mwanaume huharibiwa kutokana na kuongezeka kwa bakteria wa fangasi katika uke, bali maambukizi hayo hubadili mfumo wa uteute unaotoka kwenye mlango wa kizazi cha mwanamke, upo uwezekano wa mbegu za mwanaume kushindwa kufika kwenye sehemu husika.
Mbali na hayo,  wanawake wengi wanaamini kuwa matatizo ya kupata fangasi katika sehemu za siri ni ugonjwa wa kawaida, lakini wanapaswa kufahamu kuwa aaambukizi hayo ni mabaya kwao kwani yanaweza ikiwa ni chanzo cha ugumba.
Kwa maelezo  zaidi mpigie  Dr. Ramsey wa BF SUMA kwa +255774053995

0 comments:

 
Top