Muda umefika sasa kwa jamii na taasisi za TIBA kuweza kuwa na mfumo utaratibu wa kuweza kujuwa kipi ni bora na kipi sio bora.

Ingawaje sasa kila mtu amekuwa ni mtibabu wa ila bado kuna shida kwa sababu wengi wanaouza dawa asili ni wababaishaji, kwani nusu ya dawa zao hazina ukweli wa matibabu wanayoyazungumzia.

kwa mfano, unaweza kuona siku za ijumaa kumejazaana waauza madawa ila bado hakuna mtu aliyethibitisha kupona kwa uhakika maradhi yake badala yake ni kuowaongezea maradhi tu.

lakini pia mfano mwengine wauza asali iwe mbichi au mbivu zote ni asali FEKI ambzo ni za kupika au kutengeneza, kiliivyo ni kuwaongezea watu maradhi.

kwa maana hiyo basi, ili tiba iwe ni nzuri ni lazima mgonjwa wa tiba asili awe anatumia miti ya asili ambayo inapatikana kwenye maeneo yao na sio nje ya eneo lake.



0 comments:

 
Top