Hiki ndio chumba chenyewe
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akishusha Nanga kuashiria kuweka
jiwe na nanga la ujenzi wa chumba cha chini ya bahari katika Hotelai ya Manta
Resort iliyoko Makangale Kaskazini mwa Kisiwa cha Pemba
Meneja wa Hoteli ya Manta Resort Makangale mkoa wa kaskazini Pemba Bwana Metthew
Saus { Maarufu Babu kwanini na msaidizi wake
wakiwa tayari kumsubiri mgeni rasmi Balozi Seif Ali Iddi kuweka jiwe la
nanga katika ujenzi wa chumba cha chini ya bahari
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
akiwa na Mkewe Mama Pili Seif Iddi wakiwa kwenye Boti kuelekea kwenye
uwekaji wa jiwe la nanga la ujenzi wa chumba cha chini ya bahari katika Hoteli
ya Manta Resort iliyoko Makangale Mkoa Kaskazini Pemba
Balozi Seif akiwa na Mkewe Mama Pili Seif Iddi wakifuaria bidhaa
zilizotengenezwa wajasiri amali wa Jimbo la Gando huku wakipata maelezo kutoka
kwa mjasiri amali wa kikundi hicho Bibi Faida Hamad Juma.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Pili Seif Iddi akijigeza moja ya
kanzu zilizotengenezwa na wajasiri amali wa Jimbo la Gando ambayo aliondoka
nayo kwa manunuzi
0 comments:
Post a Comment