Home
»
»Unlabelled
» Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima Zanzibar aliyepo kulia yake Dr. Hamed Rashid Hikman, ambapo kushoto yake ni Mkuruigenzi Mtendaji wa Shirika hilo Abdulnaasir Abdulrahman kabla ya kuzungumza na watendaji wa shirika hilo tawi la Lumbumba Jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment