WAZIRI WA NCHI OFISI YA KAMAU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MH. FATMA ALHABIB FEREJI AKIMFURAHIA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA OPIC BIBI MIMI ALEMAYEHOU BAADA YA KUMVALISHA VAZI RASMI LA UTAMADUNI WA ZANZIBAR LA KANGA. KITENDO HICHO PIA KILISHUHUDIWA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI  IDDI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA UWEKEZAJI VITEGA UCHUMI NCHINI MAREKANI (OPIC) BIBI MIMI ALEMAYEHOU.KUSHOTO YA BALOZI SEIF NI NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR DK. SIRA UBWA MAMBOYA NA KULIA YA  BIBI MIMI NI WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MHE FATMA FEREJI.

0 comments:

 
Top