Ni juhudi nzuri ambazo Shirika la Umeme la Zanzibar limekuwa likichukuwa katika kuhakikisha kwamba mji unapenda kwa taa, lakini ni vyema kwa shirika hilo sasa kufikiria njia mabala wa kuziendesha taa hzi kwa kuweka taa ambazo zitakuwa zinatumia mionzi ya jua na pia ziwe ni taa zenye kurekodi mwenendo mzima wa masuala ya barabarani ili kuepunga uzembe wa ajili za makusudi

0 comments:

 
Top