Kituo hiki ni muhimu jamii ya Kizanzibar na hasa wale ambao kwa njia moja au nyengine hawakuweza kukamilisha eleimu yao ya msingi, hivyo Serikali ya Zanzibar katika kuhakikisha kwamba kila mtu anapata fursa na haki sawa katika kupata elimu , imekiweka kituo hiki maalumu kwa ajili ya kuweza kuwasaidia vijana katika kujiongeza elimu na hasa ya ufundi

0 comments:

 
Top