Baadhi ya kimama wakiwa kwenye kikao ambacho kiliwahirkisha viongozi kutoka UN WOMEN Dar-es-salaam
 Huyu ni Dj ambaye yupo kazini kwa ajili ya kuweza kuwapatia burdani washabiki (wasikilizaji) wake wa Mtegani Fm Radio ambayo inapatikana kwenye masafa ya 91.9, hii ni maalum kwa ajili ya watu wa Mkunduchi tu pamoja na wale walio karibu na viunga vya Makunduchi
 Bi.Rose kutoka UN Women akiwa amebeba mtoto mara baada ya kumaliza kikao chake na akina mama wa Makunduchi- mkoa wa kuzini -Unguja
 Huu ndio usafiri wakuamini na unaopendwa na wakaazi wengi wa vijiji vya Zanzibar wanyewe wanasema hii ni fuu kifupwe(huna haja ya kuweza ac)
 Ni baadhi ya akina mama wa Makunduchi wakitafuta mawimbi ya 91.9 Mtegani Fm Radio kama ambavyo wamenaswa na mpiga picha
 Bi. Rose akiwa ndani ya chumba cha matangazo kwenye kituo cha Mtegani Fm Radio Mkunduchi

 Acha tuondoke ila tutarudi tena msihofu
 Hii ndio ukoo uliomiliki na kuendesha kituo cha Mtegani ambapo pichani anaonekana baba na watoto wake ambao ndio waendesha matangazo ya kituo hicho
 Hii radio siyo kama imetupwa bali inatiwa chaji ili iweze kutumika, pale ambapo hukana umeme au pengine kunaupungufu wa betrimadukani
 Kwa kweli wanapendeza kuwa na hizi radio na inaokena zipo bomba

0 comments:

 
Top