kijana mwenye simu ambaye amevalia fulana na manjano ndie aliyekuwa akipurukushana na bahari wa boti ya kilimanjaro 1 leo asubuhi kwa madi ya kutaka kurudishiwa pesa zake zilizobaki kutoka kwa muuza halwa ambaye alimuahidi kurudishia pesa hizo kwa kumpa baharia aluyekuwa kwenye zamu halia hali haikuwa ya kawaida hatima wakaamuwa kufunguwa uwanjwa wa maneno na masumbwi

 mara baada ya boti kurudi bandari kijana aliyevaa fulana ya manjano alikabidhiwa mikononi mwa jeshi la polisi kwa hatua zaidi
 walisi na badhi ya watendaji waboti ya kilimanjaro wakiwa kwenye baji kwa ajili ya kumchukuwa kijana ambaye alikuwa wakilumbana kwenye boti
hatimae boti iliondoka na kijana kupelekwa kwenye kituo cha polisi malindi

0 comments:

 
Top