Hii ni nyumba ambayo ipo Darajani na nijengo ambao ndani yake mnaishi watu lakini halia yake ni kama hivyo inavyooneka, je usalama wao uko wapi?

Hili lilikuwa ni ukumbi (hall) la kihindi ambalo lipo baina ya skuli ya Kajificheni na Hamamni jengo lilikuwa likitumika kwa ajili ya kuchezea ngoma za kihindi na sasa lipo katika hali ambayo inakatisha tamaa kwani sidhani kama linataweza kurudishwa kama mwanzo

0 comments:

 
Top