Kwa hakika tangazo hili linatosha kusema kwamba sasa mifuko ya plastiki bai katika visiwa vya Zanzibar, lakini cha ajabu na kushangaza tangazo hili lipo katika eneo muhimu la bandari ya Zanzibar inaonekana kama kwamba lipo kwa ajili yakupendezesha mji au bandari ya Zanzibar, hii ni kwa sababu mifuko inayopigwa vita bado inaendela kutumia na si dhani kama kweli Serikali imekataza hasa mifuko hii ya plastika kama ni kweli kwa nini agizo hilo halifanyiwi kazi? kulikoni?

0 comments:

 
Top