kama ni mara ya kwanza kuuona huo mche wa bangi unaweza kusema ni miongoni mwa miche mizuri kwa ajili ya bustani pembezoni au ubavuni mwa yumba yako
Ingwaje unavutia lakini madhara yake ki afya ni makubwa kwani mti huu umepelekea vijana wengi kuwa na upungufu wa akili  ingawaje, matumizi hutofautia kulingana na imani na itikadi ya mtu na mazingira aliyotoka, wapoa ambao hutumia bangi kama sigara, wangine hutumia kama mboga(mchicha) nk na pia inasemekana wapo pia wanaotumia bangi kama dawa kulingana na ungonjwa uliomsibu
Lakini kitu cha msingi ni kujiuliza je ni watu wangapi huitumia kama ni mbona na wamepata madhara yoyote kiafya/ lakini pia tunapaswa kujiuliza pia ni watu wangapi wamekuwa wakitumia kama kilevi na je wapo sawa kiafya?
Kwa hivyo unaweza ukafanya tathimini yako wenyewe na halafu utaweza kujuwa kama kweli bangi ni boga au sigara au bustani hiyo ni wewe na akili yako
 

0 comments:

 
Top