Home
»
»Unlabelled
» Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya viongozi katika kivyuko cha mv Misungwi, wakati akitoka jijini Mwanza kwenda, Sengerema kuendelea na kampeni katika majimbo tofauti mkoani Mwanza jana, Oktoba 10, 2015. WengineMjumbe wa Kamati ya Kamapeni za CCM Kitaifa Cjristopher Ole Sendeka (Kuhsoto), Angela Kizigha (watatu kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Baraka Konisaga.(Picha na Bashir Nkoromo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment