DR. KHAMISI IBRAHIM ZEPHANIA, SIMU: 0766 431675/0656 620725
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Ni kengele ya tahadhari kwamba kuna ugonjwa ndani umetulia, au utalipuka muda si mrefu au umeshatokeza tayari.
Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume.
Kuna viungo zaidi ya 30 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume, kimojawapo au viwili au zaidi kisipofanya kazi vizuri kupungua nguvu za kiume ni kitu kisichoepukika.
Matibabu ya nguvu za kiume lazima yaanzie kwenye chanzo cha tatizo, vinginevyo mgonjwa hawezi kupona hata kama atatumia dawa kwa muda wa miaka 100 na zaidi.
Siyo kila mtu au daktari anaweza kutibu nguvu za kiume, ni daktari maalumu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo, anayelijua vizuri figo, ini n.k.
Je wewe ni mwanaume ambaye ungependa kujua sababu za kupungua nguvu za kiume, na matibabu yake ya UHAKIKA?
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania, wa LIFE HERBAL CLINIC & RESEARCH daktari bingwa aliyebobea katika kutibu upungufu wa nguvu za kiume kuanzia chanzo cha tatizo.
Dawa zetu ni dawa asilia, hazina madhara yoyote kwa mtumiaji, zimetokana na mimea na matunda. Unapoingia katika matibabu unatibiwa mpaka tatizo lako liishe kabisa, ni matibabu ya uhakika siyo ya kubahatisha. Pia utapata ushauri wa kitaalamu juu ya afya yako kwa ujumla.
Au fika katika kliniki yake iliyoko Jijini Mwanza barabara ya Nkurumah katika jengo la Makune Trade Centre, Ghorofa ya kwanza karibu na Deluxe Hotel. Kwa walio mbali pia wanapata matibabu vizuri kabisa, na dawa zinawafikia mahala popote walipo bila shida yoyote.
Hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina sana juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kujua chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji tumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona na si vinginevyo. Kwa mfano kama alifanya masturbation, basi hapo tutafahamu neva ya parasympathetic na tezidume vitakuwa vimedhurika.
Kuna watu hupenda kuuliza dawa ni shilingi ngapi? Mimi siuzi dawa, nafanya matibabu. Kila mwananume ana chanzo na sababu zake za kupungua nguvu za kiume, hivyo kila mtu ana dawa yake. Haiwezekani huyu kapungua nguvu za kiume kutokana na dosari katika mishipa ya ateri, ati apate dawa ile ile aliyopata mtu aliyevimba tezidume. Hii ndiyo maana watu wengi wameibiwa pesa zao kwa matibabu ya kubahatisha.
0 comments:
Post a Comment