Home
»
»Unlabelled
» Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pia ni Mwenyekiti mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 akiwakabidhi vitabu vya machapisho ya mgawanyo wa watu kwa umri na jinsi mara baada ya kuzindua rasmi chapisho hilo kwenye ukumbi wa kimataifa wa mwalimu nyerere jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment