Katika kukabiliana na dunia ya teknologia ya mawasiliano na taarifa kampuni ya simu za mikononi ya Zantel kwa kushirikiana na washirika wa maendeleo imeandaa maradi mkubwa wa maendeleao ujulikanoo kwa jina la "Teknologia ya Taarifa na Mawasiliano na usimamaizi wa mufumo wa taarifa za Elimu katika Maendeleo pamoja na Elimu Duniani"
Mkataba wa maridhianao wa mradi huo ulitiwa saini tarehe 9.6.2010 baina ya Wizara ya elimu na mafunzo ya amali Zanzibar na USAID katika jijini Dar-es-salaam.
Aidha lengo kuu la maradi huo ni kusambaza na kuunganishsa mtanado wa internet katika skuli zote za msingi za Unguja na Pemba.
Hata hivyo katika mradi huo kamapuni hiyo ya simu ya Zantel imechangia jumala ya dola milioni 7.5 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 10.7 za Kitanzania.
Aidha maradi huo unategemewa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu visiwani hapana, katika mradi huo Zantel imeshirikiana na kampuni kama Sisco, Intel na Microsoft zote hizo ni kamapuni za utengezeaji wa Kompyuta
0 comments:
Post a Comment