Amani haipatikani bila ya kuwepo kwa haki Amani haipatikani bila ya kuwepo kwa haki

Chama Cha Wananchi CUF kimesema kuwa amani ya kudumu haiwezi kupatikana katika nchi yoyote bila ya kuwepo haki na usawa katika jamii. Kati...

Read more »
09:51

SMZ yazuwiya hati za umiliki wa ardhi SMZ yazuwiya hati za umiliki wa ardhi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezuia utolewaji wa Hati za umiliki wa maeneo ya Ardhi kwa ajili ya Kilimo kwa wakulima wa Vijiji vya ...

Read more »
22:20

Maalim Seifataka tahadhari ichukuliwa kwa watoto Maalim Seifataka tahadhari ichukuliwa kwa watoto

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ametaka tahadhari zaidi zichukuliwe katika kuwakuza watoto kimaadili, ili ku...

Read more »
22:15

Balozi Seif asaini kitabu cha maombolezi Balozi Seif asaini kitabu cha maombolezi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alikuwa miongoni mwa Viongozi wa Serikali,Mashirika na Taasisi mbali mbali za Kimat...

Read more »
19:57

Balozi Seif akutana na Brigedia General Othman Balozi Seif akutana na Brigedia General Othman

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kuendelea kuwepo kwa amani Nchini ni jambo la msingi linalowawezesha ...

Read more »
19:50

Maalim Seif azuwiya matumizi ya makumbusho mara baada ya kubomoka Maalim Seif azuwiya matumizi ya makumbusho mara baada ya kubomoka

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ameuagiza uongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Mi...

Read more »
21:44

Mashindano ya riadha yafana Mashindano ya riadha yafana

B aada ya ukimya mrefu na Jamii kulemaa katika kuangalia mchezo wa kandanda ndani ya Viunga vya uwanja wa Amani Mjini Zanzibar sasa mambo ...

Read more »
21:39

Pole Mhe.Hamadi kwa msiba Pole Mhe.Hamadi kwa msiba

Viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa na serikali wameshiriki katika mazishi ya bibi Kisa Mohd ambaye ni mke wa Mbunge wa ...

Read more »
21:57

MISRI imejitahidi kurudisha amani Mashariki ya Kati MISRI imejitahidi kurudisha amani Mashariki ya Kati

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia maonyesho ya picha katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya mshikam...

Read more »
21:11

Maalim Seif ataka bodi ya mikopo kuacha muhali Maalim Seif ataka bodi ya mikopo kuacha muhali

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewataka watendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu Zanzibar kuacha muhali...

Read more »
23:15

UTURUKI kuipendelea Zanzibar UTURUKI kuipendelea Zanzibar

Uturuki inakusudia kutoa upendeleo Maalum kwa Zanzibar ili kusaidia Taaluma na baadhi ya Uwezeshaji katika Sekta za Utalii na Biashara l...

Read more »
23:11

SMZ yaitupia lawama SMT SMZ yaitupia lawama SMT

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imeitupia lawama Wizara ya Elimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madai ya kutoishiriki...

Read more »
23:08

Ubakaji ni Unyama Ubakaji ni Unyama

Neno ubakaji kati upwa huu wa washali ni neon lenye maana pana kijamii na kisheria, ambapo jamii wanadhani kwamba matendo ya ubakaji ni...

Read more »
12:00

Wazazi watakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wao kwa kushirkiana na walimu Wazazi watakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wao kwa kushirkiana na walimu

Baadhi ya Wazazi, Walimu na Wanafunzi wa Madrasatul Jamiatul Islamia ya Mto Mchanga   wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Jengo jipya l...

Read more »
11:56

SMZ: Yafuta umiliki wa ardhi SMZ: Yafuta umiliki wa ardhi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimuonyesha Mkurugenzi wa Kituo cha Kujiendeleza Kielimu Kilichopo Selemu Ndu...

Read more »
11:51

Kitope wakutana na Mbunge wao Kitope wakutana na Mbunge wao

Wananchi wa shehia tofauti zilizomo ndani ya Jimbo la Kitope wamepata fursa ya kukutana na Mbunge wa Jimbo hilo Balozi Seif Ali Iddi kat...

Read more »
00:43

Serikali ya China yaaahidi kuendeleza misaada yake kwa nchi rafiki Serikali ya China yaaahidi kuendeleza misaada yake kwa nchi rafiki

Serikali ya Jamuhuri ya Watu wa China kupitia Wizara ya Afya ya Nchi hiyo imethibitisha kuendelea kushirikiana na Mataifa rafiki ya Ba...

Read more »
23:22

Tanzania yahitaji mabadiliko kwenye sekta ya kilimo Tanzania yahitaji mabadiliko kwenye sekta ya kilimo

Tanzania inahitaji mabadiliko kwa kuwekeza katika kilimo cha kisasa sambamba na kutoa elimu na huduma bora kwa wakulima ili waweze kuendele...

Read more »
21:32
 
Top