Jumuiya ya Uhifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiriana na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiponda wakifanya usafi katika eneo la fukwe ya Forodhani Zanzibar Jumuiya ya Uhifadhi ya Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiriana na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kiponda wakifanya usafi katika eneo la fukwe ya Forodhani Zanzibar
Read more »
22:38

SMZ yaahidi ushirikiano zaidi kwa Ubalozi mdogo wa Oman uliyopo Zanzibar SMZ yaahidi ushirikiano zaidi kwa Ubalozi mdogo wa Oman uliyopo Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa ushirikiano zaidi kwa Balozi Mdogo Mpya wa Oman aliyepo hapa Zanzibar ili kuona uhusiano ...

Read more »
22:57

Nguvu za CCM zitaendelea kuimarika Nguvu za CCM zitaendelea kuimarika

Nguvu za Chama Cha Mapinduzi zitaendelea kuimarika zaidi iwapo kasi ya Umoja wa Vijana wa Chama hicho itakuwa imara wakati wote wa utekeleza...

Read more »
22:48

Mipango mizuri inaweza kuwasaidi kuwanyanyua kiuchumi wafanyabiashara wadogo wadogo Mipango mizuri inaweza kuwasaidi kuwanyanyua kiuchumi wafanyabiashara wadogo wadogo

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Mipango mizuri ya kuwajengea uwezo wa uzalishaji wajasiriamali wadogo wadogo...

Read more »
22:24

Serikali yatakiwa kuwa makini kwa walioathirika katika ujenzi wa uwanja wa ndege Zanzibar Serikali yatakiwa kuwa makini kwa walioathirika katika ujenzi wa uwanja wa ndege Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeombwa kuhakikisha kwamba utaratibu muafaka usioleta machungu unazingatiwa ili kuwapa faraja Wananchi wa...

Read more »
21:34

Products from tobacco cause cancers where as products from bees harvesting is anti-cancer Products from tobacco cause cancers where as products from bees harvesting is anti-cancer

Dr Ali Mzige Tobacco contains a variety of different noxious substances, but the dangers of three of them are particularly important. Nico...

Read more »
21:26

Kilimanjaro na muonekano wake hivi sasa Kilimanjaro na muonekano wake hivi sasa

hii ndio hali halisi ya mlima Kilimanjaro ulivyo kwa sasa, ingawaje ni kivutio kikubwa wa watalii waingio katika nchi kama Tanzania na Kenya...

Read more »
23:28

Usafiri wa anga Usafiri wa anga

Rubani wa ndege ya Jet link ifanyayo safari zake kutoka Nairobi -Dar wakiwa kazini

Read more »
23:23

Balozi Seif wakati alipotembelea uwanja wa ndege wa Zanzibar kukakuguwa eneo la uwanja lilovamiwa na ujenzi wa nyumba Balozi Seif wakati alipotembelea uwanja wa ndege wa Zanzibar kukakuguwa eneo la uwanja lilovamiwa na ujenzi wa nyumba
Read more »
21:52

Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati yatarajiwa kuwagawa viwanja Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati yatarajiwa kuwagawa viwanja

Wakati Serikali inaendelea kufanya tathmini ya nyumba na mali zilizomo ndani ya eneo jipya kwa ajili ya utanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Zanzib...

Read more »
21:37

Jamii yatakiwa kuwa na tahadhari kutokana na mvua zinazoendela kunyesha nchini Jamii yatakiwa kuwa na tahadhari kutokana na mvua zinazoendela kunyesha nchini

Jamii imekumbushwa kuwa na tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini ambazo tayari zimeshaleta athari na kupoteza maisha y...

Read more »
22:41

Balozi akutana na watendaji wa Shirika la Utangazi Zanzibar (TVZ) Balozi akutana na watendaji wa Shirika la Utangazi Zanzibar (TVZ)
Read more »
22:38

Balozi Seif atembelea ZBC (TVZ) Balozi Seif atembelea ZBC (TVZ)

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amekumbusha kwamba mafanikio ya kazi popote pale hupatikana na kuongezeka iwapo sual...

Read more »
22:01

MAKAMU WA PILI WA  RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA BWANA K.V. BHAGIRATH OFISINI KWAKE VUGA MJINI ZANZIBAR. BALOZI BHAGIRATH ALIFIKA  KWA BALOZI SEIF KUAGA BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE WA UTUMISHI NCHINI TANZANIA. MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA BWANA K.V. BHAGIRATH OFISINI KWAKE VUGA MJINI ZANZIBAR. BALOZI BHAGIRATH ALIFIKA KWA BALOZI SEIF KUAGA BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE WA UTUMISHI NCHINI TANZANIA.
Read more »
22:06

Watanzania waongezewa nafasi zaidi za masomo India Watanzania waongezewa nafasi zaidi za masomo India

India inakusudia kuongeza nafasi za masomo ya elimu ya juu kwa Wanafunzi wa Tanzania katika kipindi kijacho cha mwaka 2012 katika fani ya ki...

Read more »
21:55

Serikali ya Zanzibar yaahidi kukifanyia marekebisho kiwanda cha uchapaji cha serikali kilichopo Mkele Zanzibar Serikali ya Zanzibar yaahidi kukifanyia marekebisho kiwanda cha uchapaji cha serikali kilichopo Mkele Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kukipatia vifaa na Mitambo ya kisasa kiwanda cha Idara ya upigaji chapa cha Serikali ili kiteke...

Read more »
23:31

Ukatili dhidi ya wanawake na watoto Zanzibar Ukatili dhidi ya wanawake na watoto Zanzibar

Kasi ya vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto inayoonekana kuendelea kushamiri nchini inatishia amani ndani ya jamii na hapana bud...

Read more »
23:24

Chuo cha Mafunzo Zanzibar chashauriwa kuwa na mafunzo ya kilimo kwa vijana ili yaweze kuwasaidia katika maisha yao ya baadae Chuo cha Mafunzo Zanzibar chashauriwa kuwa na mafunzo ya kilimo kwa vijana ili yaweze kuwasaidia katika maisha yao ya baadae

Uongozi wa Idara Maalum ya Chuo cha Mafunzo Zanzibar umeshauriwa kuandaa utaatibu maalum wa kutoa mafunzo ya Kilimo kwa Vijana kwa lengo la ...

Read more »
18:22

Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika Miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika
Read more »
17:57

UN Secretary-General's UN Secretary-General's

SG: Good morning, ladies and gentlemen. It is a great pleasure to meet you. And I look forward to seeing you later this evening during the a...

Read more »
17:40

Government of Sweden provides $5.15 million to United Nations Tanzania Government of Sweden provides $5.15 million to United Nations Tanzania

Sweden’s Deputy Head of Mission and Head of Development Cooperation Division Maria van Berlekom, and the United Nations Resident Coordinator...

Read more »
22:22

Waislamu watakiwa wawe waadilifu Waislamu watakiwa wawe waadilifu

Waumini wa Dini ya Kiislamu wameendelea kukumbushwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, hekima, busara na uaminifu ili kufikia kilele cha ...

Read more »
22:01

Uchaguzi wa viongozi wapya wa Arterial  Network uliofanyika Nairobi tarehe 07.12.2011 Uchaguzi wa viongozi wapya wa Arterial Network uliofanyika Nairobi tarehe 07.12.2011

Read more »
11:51
 
Top