Waislam watakiwa kuungana:Maalim Seif Waislam watakiwa kuungana:Maalim Seif

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amewataka waumini wa dini ya kiislamu kuungana ili kuweza kukabiliana na chan...

Read more »
04:07

Wana CCM watakiwa Wana CCM watakiwa

Wanachama wa Chama cha Ma pinduzi Nchini  wakati wote wanapaswa kuzingatia umadhubuti wa Wanachama wanaowachagua katika kushika nafasi za ...

Read more »
04:03

Afrika yaweza kufanikiwa:KIKWETE Afrika yaweza kufanikiwa:KIKWETE

Rais wa   Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. jakaya Mrisho Kiwete alisema Bara la Afrika linaweza kufanikiwa kuondokana na Janga la Um...

Read more »
20:15

Katibu Mkuu wa CUF asikitishwa na vurugu za uchaguzi wa BUBUBU Katibu Mkuu wa CUF asikitishwa na vurugu za uchaguzi wa BUBUBU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad ameelezea kusikitishwa kwake na vitendo vya vurugu   vilivyotokea wakati wa ...

Read more »
21:08

Idara ya mambo ya nje inanafasi ya kukuza uhusinao na mashirika ya kimataifa Idara ya mambo ya nje inanafasi ya kukuza uhusinao na mashirika ya kimataifa

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad amesema mabalozi pamoja na idara ya mambo ya nje Zanzibar, wanayo nafasi kub...

Read more »
20:27

Trans World yatakiwa kuangalia maeneo ya kuwekeza Zanzibar Trans World yatakiwa kuangalia maeneo ya kuwekeza Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeushauri Uongozi wa Kampuni ya Kimataifa ya TransWorld yenye Makao Makuu yake Nchini Dubai kuangalia ma...

Read more »
21:38

Maalim Seif arejea nchini Maalim Seif arejea nchini

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amerejea nchini leo baada ya kumaliza ziara yake ya wiki mbili nchini Marekan...

Read more »
19:19

SMZ ipo tayari kuwasaidia vijana walioacha matumizi ya dawa za kulevya SMZ ipo tayari kuwasaidia vijana walioacha matumizi ya dawa za kulevya

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iko tayari kuwasaidia Vijana waliotengemaa baada ya kuacha matumizi ya dawa za kulevya kwa kuwapatia mtaj...

Read more »
19:16

Wakawaka yatoa msaada wa Taa za Solar Wakawaka yatoa msaada wa Taa za Solar

Muanzilishi wa   Mradi wa Taa zinazotumia mwanga wa Jua kutoka Kampuni ya Wakawaka ya Nchini Uholanzi Bwanan Maurits Groen akimkabidhi Ta...

Read more »
21:03

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ankutana na shirika la Mwezi Mwekundu, Abudhabi Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ankutana na shirika la Mwezi Mwekundu, Abudhabi

  Mwandishi maalum, UAE. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na uongozi wa shirika la misaada la mwe...

Read more »
20:47

GNU yanakaribisha wawekezaji Zanzibar GNU yanakaribisha wawekezaji Zanzibar

Na, Mwandishi Maalum, London Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema Zanzibar yenye   muundo mpya wa ...

Read more »
13:07

Kamati ya Senza yakutana Zanzibar Kamati ya Senza yakutana Zanzibar

Kikao cha Nane cha Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimekutana leo   chini ya Mwenyekiti wake Mweza Makamu wa Pili w...

Read more »
13:03

AFRICAN CREATIVE ECONOMY CONFERENCE 2012 AFRICAN CREATIVE ECONOMY CONFERENCE 2012

The aims of the conference are to provide practical analysis and reflective overview of the current status of African creative economy. Thi...

Read more »
12:36

Wananchi wanapaswa kuchangia huduma za afya Wananchi wanapaswa kuchangia huduma za afya

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema pamoja na jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali za uimarishaji wa...

Read more »
22:19

Atakaye tumia vibaya simu kukiona cha moto Atakaye tumia vibaya simu kukiona cha moto

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimshukuru Naibu Mkurugenzi ambaye pia ni Mratibu wa Mamlaka ya Mawasiliano ...

Read more »
12:53
 
Top