Taarifa kwa UMMA Taarifa kwa UMMA

Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika tawi la Tanzania MISA-Tanzania) inasikitika kuarifu umma wa watanzania kwamba inapinga vik...

Read more »
22:32

Balozi Seif amopokea michango zaidi Balozi Seif amopokea michango zaidi

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika {CBA} Bw. Yohane Kaduma akikabidhi mchango wa Maafa kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanziba...

Read more »
22:08

Wazazi watakiwa kubadili tabia Wazazi watakiwa kubadili tabia

Mjumbe wa Kamati wa Siasa ya CCM Wilaya ya Kaskazini B Mama Asha Suleiman Iddi akiufungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Jimbo la Kito...

Read more »
16:53

SMZ na Vikosi vya ulinzi vyapongezwa kwa SMZ na Vikosi vya ulinzi vyapongezwa kwa

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ushirikiano na Vikosi vya Ulinzi, pamoja na Taasisi za Kiaraia imepongezwa kwa hatua iliyochukuwa kat...

Read more »
22:37

Wachina wato msaada kwa SMZ kufuatia kuzama kwa MV Skagit hivi karibuni Wachina wato msaada kwa SMZ kufuatia kuzama kwa MV Skagit hivi karibuni

Jamuhuri ya Watu wa China imeahidi kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...

Read more »
12:50

SMZ yaziagiza kampuni kuleta meli mpya SMZ yaziagiza kampuni kuleta meli mpya

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeziagiza Kampuni na Taasisi za Uwekezaji ndani na nje ya Nchi   kuagiza Meli mpya za usafirishaji w...

Read more »
12:18

SUMATRA yatakiwa kufanya kazi kwa kushirkiana na ZMA SUMATRA yatakiwa kufanya kazi kwa kushirkiana na ZMA

Serikali zote mbili ya Muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeziagiza Mamlaka zinazosimamia usafiri wa Baharini za Sumatra ya Tanzani...

Read more »
21:50

Viongozi wa kitaifa nao wafika katika uwanja wa Maisara kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la utambuzi wa maiti zilizookolewa kutoka kwenye Mv Skagit Viongozi wa kitaifa nao wafika katika uwanja wa Maisara kwa ajili ya kushiriki kwenye zoezi la utambuzi wa maiti zilizookolewa kutoka kwenye Mv Skagit

 Ni miongoni mwa viongozi wa dini ya kiislamu waliohudhuria kwenye uwanja wa Maisara Suleiman kwa ajili ya kushirikiana na viongozi wa ki...

Read more »
22:53

Balozi Seif awataka wananchi kuiamini taarifa zitolewazo na Serikali Balozi Seif awataka wananchi kuiamini taarifa zitolewazo na Serikali

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewanasihi Wananchi kuendelea kuiamini Serikali katika kupokea Taarifa zake hasa w...

Read more »
21:37

SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit SMT yaahidi kuongeza ushirikiano na SMZ katika kufuatilia ajali ya M.V Skagit

Serikali ya Muungano wa Tanzania Kupitia Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa litaendelea kutoa ushirikiano na msaada kwa Serikali ya...

Read more »
21:17

Ajali ya meli Zanzibar 18.7.2012 Ajali ya meli Zanzibar 18.7.2012

Waziri Mwinyi Haji akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari Ni baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika eneo la bandari kwa...

Read more »
10:00

Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa Wananchi watakiwa kuhiriki ipasavyo kwenye zoezi la sensa

Wananchi wameombwa kutoa Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa kwa kutoa taarifa sahihi za kaya zao ili kupata takwimu sahihi kwa ajili ya ...

Read more »
09:49

Kamati ya sensa yakutana Zanzibar Kamati ya sensa yakutana Zanzibar

Kikao cha Kamati ya Taifa ya Sensa ya Watu na Makazi Tanzania kimefanyika Mjini Zanzibar Chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu wa Serikali y...

Read more »
20:29

SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani SMZ yaahidi kushirikia na Light Years IP ya Marekani

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na Serikali ya Marekani kupitia Kampuni ya Light Years IP inaandaa Mpango wa Kibiash...

Read more »
14:27

SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar SMZ yapongezwa kwa mpango wake mpya wa UTALII Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepongezwa kwa uamuzi wake wa kuandaa mpango mpya wa nadharia ya Utalii kwa wote ambao umelenga kuwa na ...

Read more »
22:05

Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar Sudan yatakiwa kuaingalia mazingira ya Zanzibar

Wawekezaji wa Jamuhuri ya Sudan wameombwa kuangalia vyema mazingira ya Zanzibar katika dhana nzima ya kuwekeza Vitega Uchumi vyao vinakavyo...

Read more »
22:14

Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii Chuo cha Utalii Zanzibar chatakiwa kuimarimasha mafunzo ili kuepuka vimbi la vijana kutoka nje ya Zanzibar kuajiriwa kwa wingi katika sekta ya Utalii

Matatizo ya kutafuta Wafanyakazi wa Hoteli za Kitalii kutoka Nje ya Zanzibar yatapungua kwa kiasi kikubwa kama sio kuondoka kabisa iwapo Wa...

Read more »
22:09

Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ Balozi Seif aomba mgogoro ulioibuka katika eneo la Kisaka saka limalizike ili kudumisha hali ya ujirani mwema kati ya wananchini na JWTZ

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameelezea umuhimu wa kuondoshwa sintafahamu iliyopo baina ya Wananchi wa eneo la Ki...

Read more »
00:54
 
Top